Deuteronomy 23:21

21 aUkiweka nadhiri kwa Bwana Mwenyezi Mungu wako, usichelewe kuitimiza, kwa kuwa Bwana Mwenyezi Mungu wako atakudai, nawe utakuwa na hatia ya dhambi.
Copyright information for SwhKC